Jotojiwe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 334
- 130
habari za mdaa huu wana jf?
Mimi nimenunua simu aina ya iphone 4s 64gb lakin kinacho nishangaza nikitaka kufungua mfano skype ambayo application yake tiari ipo humo inasema there is no enough memory inaitaji t-flash,Memory ipo 59gb sijui inataka nini naombeni msaada.