Iphone 4 inasearch network wakati wote

Shedafa

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2008
Posts
802
Reaction score
176
Wandugu naomba msaada kwa wenye utaalam na jamii hii ya simu, nina iphone 4 yangu tangu jana usiku inasearch network wakati wote. Nikiondoa line/nikiweka hakuna badiliko, mwenye idea nini nifanye anisaidie tafadhali.
Nawakilisha.
 
Anza na restart/reboot ikigoma fanya factory reset.
 
Inawezekana line yako ya Simu imeharibika mkuu, hebu jaribu kuweka line nyingine!
 
Inawezekana line yako ya Simu imeharibika mkuu, hebu jaribu kuweka line nyingine!

Nami nilifikiri hivyo, ila nimesita kwa kuwa ukitoa line inatakiwa ikwambie hakuna line. Yenyewe inasearch uweke/usiweke line, ndio maana nashindwa kupata ujasiri wa kuaribu line nyingine, si unajua line ili iingie inabidi uipunguze!.
 
Wandugu naomba msaada kwa wenye utaalam na jamii hii ya simu, nina iphone 4 yangu tangu jana usiku inasearch network wakati wote. Nikiondoa line/nikiweka hakuna badiliko, mwenye idea nini nifanye anisaidie tafadhali.
Nawakilisha.

Chinese product has expired! No way; tupa kuleee! Chukua simu original ya maana!
 
Huyu alisolve tatizo lake hivi. Jaribu kufanya hivyo.
 
Huyu alisolve tatizo lake hivi. Jaribu kufanya hivyo.

Asante kwa link, nimejaribu kufanya yaliyoandikwa kwenye link bila ya mafanikio. Kama kuna bado mwenye ziada tafadhali.
 
Mkuu uliifanya nini kabla? uli update ios au?
 
Wandugu naomba msaada kwa wenye utaalam na jamii hii ya simu, nina iphone 4 yangu tangu jana usiku inasearch network wakati wote. Nikiondoa line/nikiweka hakuna badiliko, mwenye idea nini nifanye anisaidie tafadhali.
Nawakilisha.

iPhone yako ni Original? Ni Factory Unlocked? Jaribu kuRestore.. Ikikataa inawezakuwa kuna tatizo na antenna.
 
iPhone yako ni Original? Ni Factory Unlocked? Jaribu kuRestore.. Ikikataa inawezakuwa kuna tatizo na antenna.

Ni original, nimejaribu kufanya restore zote nilizoelekezwa kwenye website ya Apple bila ya mafanikio, ila nimegundua kitu. Haionyeshi Modem firmware wala carrier, nilipojaribu kutafuta maelekezo yamenikatisha tamaa. Inaonekana ni tatizo la hardware, kwa ushauri wao niende kwa dealer wao ili ikiwezekana nibadilishiwe.
 
Mkuu uliifanya nini kabla? uli update ios au?

Imetokea tu, niliona kimya mno nikawa nashanga watu hawanikumbuki leo!. Kuangalia simu naona inasearch tu bila ya kumaliza.
 
mkuu hiyo cm imefunguliwa na ikatenganishwa betry, ukifanya hivyo tu lazima iwe hivyo
 

Kama ni tatizo la hardware inakua ngumu sana ku solve mwenyewe
 
Kama ni tatizo la hardware inakua ngumu sana ku solve mwenyewe

Ni kweli Paul, nimeamua kuizima na kusubiri jamaa yeyote atakaye kuwa safarini aende nayo ili ikiwezekana ikabadilishwe. Maana nimeenda airtel wamesema line iko poa tatizo liko kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…