Ina version gni ya OS. sina utaalamna simu but ninafuatilia mambo ya teknolojia kuna kitu kintwa Jail braking. kama ina latest iiOS itakuwa kazi kubwa kidogo but kwa uwezo wako nadhani huwezi kushindwa. But wakati unasubiri wataalamu jua version ya OS au firmwaare. Wadondoshee hapa wataalamu wakupe njia.