hapana wewe nunua tu,hao nao utasha wao wa kujifanya wa kishua sana kununua vitu wapi wapi sijui huko ndio wamejikuta wanalala stand mpaka saa mbili asubuhi.niliiona pia ila sikuiangalia kwa makini
hicho ndicho kinanifanya nisite kununua simu zinazotangazwa Insta kuna Iphone 6 laki 4 ,iphone 7 laki 6 mpk 7
Sent from my iPhone using JamiiForums
ugeni kwenye game ni tatizo.Tatizo watanzania ni wavivu wa kitafuta taarifa juu ya kitu wanachotarajia kifanya.
Sasa hapo ukiwa dukan unachukua imei na uki search inakwambia kila kitu kuhusu device hyo lakin mtu anategemea cover ndio limwambie n aina gan ya simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua tu kifaa original kinafaamika insta wapo wauzaji wa kweli tu . kwa bei hiyo ya 400k kwa iphone 6 ni sawa tu. Inategemea ni gb ngapi zinaanzia 16gb 32gb 64gb 128gb hapo ndo bei inaweza kupanda ila ina cheza hapo 400k au zaidiniliiona pia ila sikuiangalia kwa makini
hicho ndicho kinanifanya nisite kununua simu zinazotangazwa Insta kuna Iphone 6 laki 4 ,iphone 7 laki 6 mpk 7
Sent from my iPhone using JamiiForums