Ipende Nchi Yako, Mpende Rais wa JMT, Ipende Serikali na Mungu wa mbinguni atakubariki!

Penda nchi yako
Tetea wananchi wenzako hususan wanyonge
Kataa viongozi wanyonyaji
Kataa rushwa
Kataa uzembe na ubadhirifu
Kataa viongozi wanaosisitiza kula kwa urefu wa kamba
Kataa viongozi wanaofanya ziara na matumizi yasiyo na tija huku kina mama na watoto wanakosa bima ya afya

N.k n.k

Jumapili Njema
 
Naipenda sana Nchi yangu Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Nachukia sana RUSHWA , ubadhirifu wa Mali ya umma na Wizi wa kura.

Napenda kuona HAKI ikitawala juu ya nchi.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…