Ipemaneno picha hii

bila shaka hapo ni mwanakwerekwe unguja kama unaelekea bwejuu
 
Picha haihusiani na mambo ya mpira umekosaea wewe mkuu AMAKusya hapa sipo mahali pake pa kuweka majibu ya mechi.

Mkuu tatizo ni elimu na tupo wengi wa aina hii na hii picha ni nzuri sana hasa kwa hao watoto ni sawa na kuwapa uchangamfu wa mawazo ya kilemu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…