Ipe neno hii picha

Angepaka hina bila kuongeza urefu wa kucha halafu juu yake anapaka shine colour less angenoga zaidi na hiyo rangi yake ya mwili.

Crazy pink and black chocolate..... it hardly come......
 
Ukweli % kubwa ya mahusiano wanasukuma tope sana tu. Hapa wanaume wengi tu hata hawa tunawaona uso mbuzi wanasogezwa mbolea.
 
Napata shida sana kula chakula cha mtu mwenye mikucha mirefu, hua nawaza chembe chembe za choo zipo kwenye kucha
Wa hivyo huwa hawachambi wanatumia toilet paper...

Na ukiona mikucha iko hivyo basi ujue kwa bibi ndio hakuna hali kabisa
 
Angepaka hina bila kuongeza urefu wa kucha halafu juu yake anapaka shine colour less angenoga zaidi na hiyo rangi yake ya mwili.

Crazy pink and black chocolate..... it hardly come......
Mbona huo mkono wa kiume kassie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…