Ipe maneno

1. hebu nifanyie kitu cha ugali hapo fasta... afu baada ya hapo.. ntakwambia kitu kizuriiiii

2. Nimekosa maua rose yakukupatia mpenzi nimepata huu mchicha tu kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hah, mchicha tu, mkaa, unga, nynya na mengineyo?
 
Hawa wauza mboga za majani ni hatari sana kwa mahousegirl wetu huko majumbani. Hapa jamaa anahonga fungu la mboga!

Ha ha ha Happiness.. Uswahilini wake za watu ndo wanahongwa sana mchicha.. Hela walizoachiwa kununulia mchicha wanachezea mchezo..
 
Aaaaaaahh kumbe ndo zako eeehh sasa sikia We DAWA YA SIKIO nishakukariri,mtaa wetu kuna haucgeli wa hivyo sasa chondechonde mi nikuona unaingia hiyo nyumba tu kuomba uhausi boi mi nakuja kukuchafulia.omba ucsikutane na mimi kwenye mishe zako.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Happiness.. Uswahilini wake za watu ndo wanahongwa sana mchicha.. Hela walizoachiwa kununulia mchicha wanachezea mchezo..

Kweli kabisa, ukiona mkeo anacheza mchezo eti kwa kubana pesa ya mboga, ujue analiwa na wauza mboga, dagaa bichiiiiiiiiiiiiiii
 
Kama kahouse girl kako hivi naomba kazi ya uhouseboy.

Ka-houseboy! uko tayari kuua mende wanaojificha uvunguni kwa mama? Lazima kila siku uwe stand by, baba akitoka tu mama atakuita "We dawaaaa weeeeeeee! njoo nisaidie kuna mende na panya huku chumbani!"
 
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::mwaaah::mwaaah::mwaaah::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile:
 
asante bidada
:smiling:
:confused2::majani7::madgrin::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…