Ipe maneno

hili tabasamu linatoa nyoka pangoni aisee
 
Mwanaume kabla hajafanikiwa ananyenyekea,ngoja afanikiwe
 
Baby, nimekosa maua Rose ila nadhani haya yatakufaa.
Nashukuru baby, amakweli wewe ni shujaa wangu.
 
mh, mbona damu ninayo???????:majani7::A S angry::shut-mouth::becky::smiling::A S 100::target:

"hata mimi najua unayo,lakini huwa inapungua mara kwa mara... Gonga majani wewe,usiendekeze mipilau na mikuku haina kitu ile,ulimbukeni tu."
 
Chukua hii iwe ishara ya pendo langu kwako
kukupenda
kukujali
kukuheshimu
 
Hakunaagaa! Sijui nini na nini....hakunaga.Sijui nini na nini ..............tunakulaaagaa!
 
1. hebu nifanyie kitu cha ugali hapo fasta... afu baada ya hapo.. ntakwambia kitu kizuriiiii

2. Nimekosa maua rose yakukupatia mpenzi nimepata huu mchicha tu kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…