Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
A starving man feeding a wealthy politician.Dogo anamlisha mheshimiwa.
A starving man feeding a wealthy politician.
Tunapolipa kodi, kodi hiyo ikitumika vibaya (ikiliwa na wanasiasa) tukiuliza tunaambiwa wachochezi.Pamoja na umasikini wetu tuna jukumu la kulipa kodi kwa maendeluo ya nchi yetu though viongozi wengi hutumia rasilimali zetu vibaya kwa manufaa yao binafsi
Tunapolipa kodi, kodi hiyo ikitumika vibaya (ikiliwa na wanasiasa) tukiuliza tunaambiwa wachochezi.