Ipe Maneno

Na anthonia anajua kuwa Ronaldo ni mtu WA mababies na anaongoza kwa mihela so hapo Messi lazima pressure iwe juu na ukichukulia na Leo Ronaldo wakiitoa Wales anaingia fainal na kuwa na nafasi kubwa ya kubeba tuzo ya Ballon 'dior hapo Messi lazima macho yamtoke.
 
Achana na huyu boya mi ndo CR7 bans!!!!
 
Yan Ronaldo kwa kujipenda !!! Messi haon ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…