Unaweza kukuta hajala hapo.. Ana njaa na home hapaeleweki.. Wakati wengine muda huo wapo chekechea wanapata elimu kwa gharama yake..! Ninaomba sana Mungu amjalie huyo na acimpe roho ya kulipa kisasi..!
Kwa Tanzania ya sasa hivi, asitegemee lolote. Mfumo uliopo Tanzania kwa sasa haumpi nafasi hata kidogo. Ingekuwa enzi za 'Tanganyika' ambapo kila mtu alikuwa na fursa sawa, angekuwa na matumaini. Akijitahidi sana, ataenda shule ya msingi ambayo iko chini ya mti wa mwembe...kisha akijitahidi sana ataingia sekondari ya kata ambayo haina walimu, haina maabara wala vitabu...baaada ya hapo ni kuoa, kuzaa watoto kama 7 hv ambao nao hawataweza kufika hata darasa la 7. Akiwa mjanja saana, ataishia kuwa machinga katika mojawapo ya miji ta TZ. KWA KIFUPI ANAWAZA KWANI AHERA KUENDEKI DUNIA HAIKALIKI...NI MFADHAIKO MKUBWA WA MAISHA!
You keep on joking, mi nafahamu story ya huyu dogo.
Ni yatima, anafanya kibarua kwenye machimbo fulani huko Dodoma.
One day nitakuja na full story yake...
Weka picha ya leo tu-compare? Ila hata leo baada ya 50 years of independence bado watoto kama hawa bila chakula, mavazi na malazi wapo? Ndiyo maana tunataka mabadiliko.