Ipe Maneno Picha Yangu Ya Leo!!!!!!!!!!!!!

hii simu tulikuwanayo nyumbani bimkubwa akawa akiondoka anazungusha hiyo diary anapigia kufuri kwenye sifuri tatizo likaja sauti inapungua ikabidi achongee kibox ila bado tukawa tunabinua tunapiga kama kawa!
 
Hapo unanyanyua receiver kama unataka kupiga namba 4379 unaanza kama unakata simu haraka haraka unakata Mara nne halafu Mara tatu, Mara saba halafu Mara nane simu inaita unaongea kama masaa mawili hivi halafu unakauka mwisho wa mwezi bili inakuja ya ajabu Mzee kuuliza hawezi anagombana na TTCL anadai kawekewa namba si zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…