Ipe maneno picha hii

Usiku silali nakuota wewe cheupedawa...
 
twende nyumbani tukaongee vizuri hapa naona hatuelewani
 
Mshkaji aliingia ingiaje kwenye eneo hilo na inaelekea anaambiwa we umetoka wapi
 
Mshikaji alikuwa anataka kufanya wizi wa mifukoni

Bibie kastuka
 
Hiyo basha nayo ina maana nyingi sana

Sasa sijui ndicho alichofanikisha mshikaji kukichomoa huku mabishano yakiendelea
 
Ndugu wawili katika shauri la mirathi! Kila mmoja anafikiri mzazi kaenda pero kidogo!
 
Demu anamuona ka kibaka hivi ebu angalia alivo kamata mkoba mtafikili yupo tandale
 
Mwisho upande wa kulia kama anapiga makofi
 
Kwani wewe lazima ukae hapa na mimi si nimekuambia kunamtu kakaa hapo nyanyuka basi
 
Sijui lilikuwa tukio gani hapo ukumbini maana kila mmoja anaonyesha yupo na mpango wake, concentration hakuna kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…