Ipe Maneno Picha Hii

Ila JK kwa kutupia viwalo hajambo na vinamtoka kweli kweli tofauti na director utafikiri mkulima wa mpitimbi.
 
Mpitimbi ndiyo mmea gani mkuu? Unauhakika polisi hawatautafsiri kama tusi kwa mtukufu rais mtetezi wa wanyonge?
Ila JK kwa kutupia viwalo hajambo na vinamtoka kweli kweli tofauti na director utafikiri mkulima wa mpitimbi.
 
Ukiangalia ni mzee kuliko kikwete, kweli pambana ukiwa kijana maana fainali uzeeni
 
Mbona mi naona ka anaekti hivi na kuna maneno anakaambia hako kajamaa kalikovaa kibaragashia afu Kikwete anaenjoy 'freestyle' yao!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…