Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
watoto wa waziriHahahaha Washawasha njoo huku uone...tuwe makini hii saloon isituibie wateja wetu..
watoto wa waziri
Hawatuwezi hao,raia ni waoga mno hawawezi kukubali kunyolewa na hao jamaa.Hahahaha Washawasha njoo huku uone...tuwe makini hii saloon isituibie wateja wetu..
Nikusuke rasta au nikunyoe kipara!?
Hahahaha mnyoe tu nywele zenyewe zimeanza utosini.
Aligoma kunyoa upara akadai, "nataka unichane afro tu" kwi ki kwi kwi eti anataka afro huku nywele zenyewe kinyonyoke ππ