Ipe maneno hii picha

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
5,289
Reaction score
3,125
Ama kweli maendeleo hayaji kwa bahati, bali kwa Mipango na Bidii ya kazi. Tazama hii, kulingana na uzoefu wako ni mkoa gani wenye watu wa bidii kama hii ?
 

Attachments

  • Maendeleo hayaji kwa bahati, bali kwa mipango na bidii.jpg
    609 KB · Views: 143
inawezekana ikawa Tanga kwani kwa baiskeli hawajambo
 
Umenichanganya. Tuipe maneno picha au tutaje mkoa wenye watu wenye bidii?
 
Inawezekana ni Ifakara hapo maana kwa baiskeli siyo mchezo mtoto miaka 5 tayari anaendesha baiskeli hizo hapo juu na wanaziita KAMONGO
 
Umenichanganya. Tuipe maneno picha au tutaje mkoa wenye watu wenye bidii?

Haswaaa, ndilo lengo langu hilo. Nikuchangaye, siku zote ubaki kushangaa na kupoteza muda wako bila kujifunza kutoka kwa wenzako. Kama umeshindwa kutafsiri hiyo picha na kuilinganisha na juhudi za kupiga vita umasikini kwa kufanya kazi ya aina yoyote ile kwa bidii, utalaam na nguvu; endelea kuilalamikia Serikali yako kuwa haikuletei maendeleo binafsi !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…