IPE MANENO HII PICHA.....

1. JPM --- 100%
2. PM --- 100%
3. Lukuvi --- 100%
4. Silinde --- 100%
5. Doroth Gwajima --- 100%

1. Makonda --- 145%
2. Alli Happy [emoji1] --- 100%
3. Mtaka, DC Simiyu --- 100%
4. Sabaya --- 100%

Hawa waheshimiwa ndio wapewe kuongoza nchi, wengine WOOOTEEE tukae tusikilize tu maelekezo
 
Oya iyo namba moja episode 2 %zimezidi 100 haipogo iyo
 
Pale Unajitahid kum"Soundisha Mwalimu Mkuu!!! Kuhusu Ada....ya mwanao.

Wakati Anakujua Ni Mlevi Mbwa!!!!
Na December Mlikuwa Mnalewa Wote!!!! Nusu Mgombane"" Baada ya kugonganishwa Bar med!!!!....

Are U serious!!?[emoji23][emoji849][emoji849]
 
Huyu mama ni kiboko.... Anawapatia sana watalaam wa Afya
 
Sikuelewi naona wanieleza ujinga tu
Mama hadi amenyoa huyu si wakuchezea anaonekana yuko makin hataki mchezo katika kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…