IPE MANENO HII PICHA YANGu

Subnallah...kuna watu wanakufa kwa njaa....
Kwa kweli hatuna budi kushuruku kwa kipande cha mkae tukipatacho.....
 
Ndio Mwenyeezi Mungu alivyotuumba sisi Binadamu kuna wengine wagonjwa kuna wengine wanakufa kuna wengine hawapati chakula kuna wengine wanatupa vyakula kwenye mapipa ya takataka basi dunia yetu ndivyo ilivyo Dunia yetu ni msongamano tu.
 
Ndio maana tunatakiwa kushukuru kwa kila neema aliotujaalia mungu hakika wengine wanazikosa...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…