Ipe jina hii picha

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
359
Ipe jina hii picha
 

Attachments

  • 1433085645996.jpg
    34.1 KB · Views: 3,162
Masoud kafikiria nini mpaka kumtabiria haya huyu jamaa mnunua watu?
 
Masoud kafikiria nini mpaka kumtabiria haya huyu jamaa mnunua watu?

Hayo ndio matumain mkuu, pale ambapo akili za kawaida hazioni huwezekano lakin unatumai yataenda tu, nadhani ndo maana ya hiii picha
 
Mzee huyu mdahalo hataweza kabisa...,hata Wassira hajamfikia,Nchemba ndo kabisa,tatizo pesa tu...
 
Kama kuna katuni mbili tu kipanya aliyopatia moja ni hii. pale kwenye utata wa kamba panamaanisha afya yake
 
Hayo ndio matumain mkuu, pale ambapo akili za kawaida hazioni huwezekano lakin unatumai yataenda tu, nadhani ndo maana ya hiii picha

The guy, Lowassa, According to Massoud, he seems not to have the bright future. I guess!

Au hii cartoon in depict nini in Lowassa's career??

Kuna wadau wanasema kwamba alisherehekea sana kifo cha Baba wa taifa pamoja na marafiki zake!

Hivi ni kweli Nyerere alishawahi kumfukuza uenyekiti wa CCM vijana baada ya ubadhirifu wa pesa za ujenzi???

Inawezekana pia laana ile waliopewa watu wa kaskazini ikawa bado inamtafuna yeye!

Who cares?...
 

It might be
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…