Hii ni teknolojia ya hali ya juu sana! I am trying to imagine those microphones picking-up sound without electricity. Naweza elewa kwenye guitars maana mechanical guitars have been in use from time immemorial. Hawa nadhani wako Mlimani city kwenye ufunguzi wa mkutano wa CCM wa kuwasimika Mwigulu Nchemba na Nape kuwa watukanaji wakubwa wa chama..