wakuu habari
mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya tekinologia hizi mpya,naombeni mwenye ujuzi anijuze, hivi ni kipi bora kati ya amazon kindle na ipad
--je nikiwa na kindle ni kitu gani ntakosa?
--internet vipi ktk kindle ipo?
--pdf na word,zipo kindle?
na lolote la maana wakuu mtalo ona linafaa kujuzwa hasa juu ya kindle vs ipad
Nawasilisha