Wakuu je naweza kutumia IPAD kama mobile phone. Yani kama kuna option ya kupiga simu au kutuma text au kama apps za kuniwezesha kutumia huduma hzo.
NATANGULIZA SHUKRAN WAKUU
Wakuu je naweza kutumia IPAD kama mobile phone. Yani kama kuna option ya kupiga simu au kutuma text au kama apps za kuniwezesha kutumia huduma hzo.
NATANGULIZA SHUKRAN WAKUU
Kama ni kweli ni iPad unayozungumzia haina option hiyo ya cellular mkuu even ikiwa na chip tray!! Ila kuna jinsi unanunua namba online unakua unatumia data but sio normal cellular connection