Tanzania Nchi Yetu Sote JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 529 Reaction score 905 Mar 29, 2017 #1 Habari wadau? Kuna mtu ameniuzia IPad lakini ameniambia iOS yake ime expire hivyo hai support baadhi ya application za android je, naweza kufanyaje ?
Habari wadau? Kuna mtu ameniuzia IPad lakini ameniambia iOS yake ime expire hivyo hai support baadhi ya application za android je, naweza kufanyaje ?
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,858 Mar 29, 2017 #2 Mh muulize vizuri.
Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,007 Reaction score 306 Mar 29, 2017 #3 Hivi una unagunduaje iphone kuwa ios yake ime xpairy
Mussa waukweli. JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 534 Reaction score 319 Mar 29, 2017 #4 Tanzania Nchi Yetu Sote said: Habari wadau? Kuna mtu ameniuzia IPad lakini ameniambia iOS yake ime expire hivyo hai support baadhi ya application za android je, naweza kufanyaje ? Click to expand... Nafanya hiyo kazi njoo nikuwekee Latest IOS, itapiga kazi application zote.
Tanzania Nchi Yetu Sote said: Habari wadau? Kuna mtu ameniuzia IPad lakini ameniambia iOS yake ime expire hivyo hai support baadhi ya application za android je, naweza kufanyaje ? Click to expand... Nafanya hiyo kazi njoo nikuwekee Latest IOS, itapiga kazi application zote.
Roxea Senior Member Joined May 18, 2012 Posts 182 Reaction score 48 Mar 29, 2017 #5 Mussa waukweli. said: Nafanya hiyo kazi njoo nikuwekee Latest IOS, itapiga kazi application zote. Click to expand... Njooo wapi??
Mussa waukweli. said: Nafanya hiyo kazi njoo nikuwekee Latest IOS, itapiga kazi application zote. Click to expand... Njooo wapi??