Rudi ulipoinunua au mrudishie aliekuuzia, kama ni wa barabarani basi epuka kununua barabarani ukinunua bidhaa nenda sehemu husika na upewe risiti yake ili ikitokea tatizo basi uweze kuwa na uthibitisho au utetezi.
Hapo hata polisi wakikukamata utashindwa jitetea maana si yako. Mwenye nayo kashailoki tayari