iPad 4 Retina display for sale

iPad 4 Retina display for sale

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
167
Habari wapendwa,
Nina ipad 4 retina dispay almost new nilinunua apple store uk.
Ninatumia note 3 so huwa vitu vinyi nafanya humu. Hivyo basi kwa kuwa ipad siitumii nimeamua niiuze kwa atakae ipenda.
Product spec.
Ipad 4 retina display
Wifi n sim card
16gb storage
Screen protected since day 1.
Price 700k ONO.
For more information PM.
 
Inshort hiyo ipad nilinunua apple store -sheffield uk for 499 gbp ( almost 1.4m) last yr.
Kwa laki 5 bora ikae tu ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom