Wakuu,
Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa,
Niko na IPAd 2 iko sokoni,used for 2 months,imported straight from us.
Specs,16gb,No 3g ,Leather case & Bluetooth Keyboard
Iko pamoja na vifaa vingine nimeambatanisha,i.e wireless router-hii unaweza ukaweka chip yeyote na ukapata internet,na ni wireless ,unaweza kuweka chumbani ,wewe ukakaa sebuleni unaaccess internet ,either kwenye laptop,ipad 2 ,or any other device,distance ni mpaka 100m kupata signals.
Iko loaded na games ,applications nyingi,facebook,twitter and lots more.
Bei 600USD kwa vitu vyote hivyo kwa pamoja,maelewano yapo.
for serious buyers ,pm me please