ipad 2 brand new

ipad 2 brand new

Tuco

Member
Joined
Apr 3, 2009
Posts
10
Reaction score
0
Salaam ...


Nauza ipad 2 ukubwa wake ni 64 GB on box .. serious buyer tuwasiliane katika 0713699994
 

Attachments

  • IMG_6865.JPG
    IMG_6865.JPG
    439.8 KB · Views: 188
  • IMG_6878.JPG
    IMG_6878.JPG
    322.1 KB · Views: 170
Ipad,, Iphone hivi vitu kwa chaji noma sana.
 
hazikai kabisa na chaji nmetokea kuzchkia sana na ninawashagaa kwa nin wanaziuza bei kubwa hii! Hata laki mbili cnunui Secret Service

Hakuna kifaa chochote cha widget iwe smart phones au aina ya kifaa kama hicho kinachoweza kukaa na chaji muda mrefu,ipad na iphone ni nzuri kwa sababu unachaji muda mfupi sana kuliko vifaa vingine
 
Last edited by a moderator:
Weka Bei Mkuu unaogopa nn?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom