A. Ku-Set Up Proxy Fuata Haya Maelezo
kwanza kabisa ondoa cookies na cache zote halafu nenda hii tovuti kuona ip yako
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location
Kama unatumia Firefox 6
1. Nenda "tools" halafu bonyeza options
2. kiboksi kikitokea gonga
"Advanced" (juu upande wa kulia)
3. Chini kidogo utaona tabs nne (General, Network, Update na Ecryption) wewe gonnga
Network.
4. Upande wa kulia utaona
setting button, bonyeza
5. Connection settings itatokea. Natumaini
"No proxy" radio button itakuwa selected. Sasa wewe bonyeza
"Manual proxy configuration" Hivyo viboksi vita kuwa activated.
6. Sasa weka
174.142.104.57 kwenye kiboksi cha kwanza kushoto na
"3128" kulia kwake.
Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako
Kama unatumia Internet Explore
1. Nenda tools halafu chagua
"Internet Options"
2. Katika tabs za juu bonyeza
"connections"
3. pale chini upande wa kulia kuana kiboksi cha
"LAN Settings". Bonyeza kile.
4. Kiboksi kikitokea chagua
"use a proxy server for ypour LAN..."
5. Weka
174.142.104.57 upande wa kushoto na
3128 upande wa kulia. Bonyeza OK viboksi vyote viwili.
6. Jaribu kutembelea hizo tovuti
Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako
Nimeitest hii proxy inafanya kazi lakini kama itakifa baadae jaribu hizi kapa.
174.133.219.50:80
174.133.219.53:80
174.133.219.57:80
174.142.104.57:3128
174.142.169.242:808
174.142.24.201:3128
175.123.72.96:18080
175.41.145.8:80
kama hii itasumbua unaweza kudownload
HIDE MY IP ambayo ina 14 day evaluation period.