Man hivi wewe Umepitia kwa Mpande(MTS) ?
Maana hilo neno linanikumbusha mbali kweli...Kuna Ticha tulikuwa tunamuita KJ mwenyewe akawa anadhani tunamaanisha Kamanda wa Jeshi basi wacha ajitape "Mimi ndiyo KJ Bwana" kumbe wenzie tulikuwa tunamuita Kubwa Jinga ila kwa kuua soo ndo tukawa tunafupisha kuwa KJ teh teh teeeh