Ios na Android OS Apps:

Ios na Android OS Apps:

frankgalos

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
223
Reaction score
100
Njoo Nikutengenezee Apps za Hizo Platform Kwa Pesa Yako

Utengenezaji wa Apps zinazofanyakazi kwa platform mbili tofauti na ikiwa native muonekano sawa na functionality sawa na code base moja haujawai kuwa rahisi.

Njoo nikutengenezee maramoja na kuiweka hewani app yako kwa pesa uliyokwa nayo.

Hiyo Iwe:
  1. Social network
  2. blog
  3. E-commerce
  4. Personal portfolio
  5. Agricultural App
  6. Animal business App
  7. Hospital App
N.K

nevaa.png


Hivyo pia ukitaka Website,System, Desktop Software pia nakutengenezea kwa pesa yako.

Huitaaji kufikiria mamilioni tena kuzifata kampuni flani kutimiza ndoto zako.

Capture.PNG
 
website ya ecommerce ni bei gani ikiwa na full features zake zote pia na apps yake ndugu
 
website ya ecommerce ni bei gani ikiwa na full features zake zote pia na apps yake ndugu
 
website ya ecommerce ni bei gani ikiwa na full features zake zote pia na apps yake ndugu

Inategemea na features na ukubwa wa project yako na kama nilivo sema wewe ndo boss leta idea yako ifanyiwekazi bei mazungumzo hatuto shndwana kwa hii ofa.
 
Back
Top Bottom