IOS 9 beta

AKON

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
213
Reaction score
45
Kwa wapenzi wa iOS , iOS 9 beta iko out ,nimeweka kwenye phone yangu iko cool sana . Hii imetoka Kwa ajiri ya developers but mtu wa kawaida unaweza kuiweka Pia kupitia iTunes . Ni upgrade nzuri sana ikiwa na features kibao ikiwamo kupungua Kwa size, power savings , speed na appearance siri imekuwa improved na imepewa new theme , sport light au search imekuwa improved sana ...

Maelezo zaidi Ntaweka jioni nikiwa Na tym
 

mkuu nimejaribu nimeshindwa. mbona nimeona wanasema ni kwa jili ya madevelopers tu na registration inahitaji malipo nk. Tunaomba utueleweshe zaidi namna ya kuipata
 
mkuu nimejaribu nimeshindwa. mbona nimeona wanasema ni kwa jili ya madevelopers tu na registration inahitaji malipo nk. Tunaomba utueleweshe zaidi namna ya kuipata

Hata mimi nasubiri maelezo kwa kina
Cc: AKON
 
Last edited by a moderator:
ingia hapa (iOS 9 Beta Download + Public Testing | Evad3rs )download hiyo zipped file i save kwenye pc yako "ku downoad hapa unahitaji kutumia torrents sababu file hili limetolewa na developers"

hili file ni almost 64 gb kwa maana lina version zote a simu kuanzia 4s mpaka 6plus, unachotakiwa kufanya ni ku select simu yako na skip simu nyingine zote, hapa angalia model no ya simu yako baada ya download file litakuwa na almost 1.89 gb

after downloadd li save kwenye pc yako anyhwere, fungua itunes , chomokea sim yako then bonyeza kwenye about utaona sehem imeandikwa check for updates( ukiwa kwenye itunes).

kabla ya kubonyeza hapo kwenye chk for updates hold shift key kwanza then right click , itunes itakutaka u locate lile downloaded file, li select then sit bak and relax itunes will do the rest


cc


(kama unatumia mac os , badala ya shift bonyeza and hold alt key then right click)


NB, kablla ya ku update fanyan back up kwanza in case of anything uwe na vitu vyako instantly.

baadhi ya features nyingine nilizozipenda ni pamoja na car play, uwezo wa ku navigate from one application to another bila kutumia home button mfano unaweza kutoka safari kwenda app store na ukarudi tena safari , missed call kwenda sms na ukaweza ku switch back kwenye missed call bila home button, camera buttons, uwezo wa kuficha (restriction ) kwa baadhi ya applcation, ku dis able deletion of application kirahisi rahisi...................


cc

 


ahsante sana mkuu ngoja nipambane nione kama nitaweza kudownload hii kitu.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…