deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Apple wanatarajiwa kutoa operating sysytem mpya ya IOS 7 mnamo Septemba 10 kwa ajili ya bidhaa zao.
Tetesi hizi zimetokana na screenshot iliyochukuliwa kutoka kwenye barua-pepe kutoka kwa kampuni ya Nuance (waliotengeneza application ya Siri) kwenda kwa developers wake kufanya testing ya project zao kabla ya kufikia tarehe hiyo.
Kutokana na desturi ya Apple kuzindua simu mpya pamoja na operating system mpya kwa pamoja, inawezekana tarehe hiyo pia zikazinduliwa simu mbili Iphone 5S na Iphone 5C (colour) ambayo nyuma niliongelea kama Iphone ya bei rahisi.Bongo Electronics Picha : Iphone ya Bei Rahisi