Salaam Wadau!
Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?
Ndio kawaida yao. Ndio maana Apple wana update simu zao kwa muda mrefu ili kuhakikisha unaweza download apps. Kwa Android hakuna haya mambo. Hata ukiwa na Android 5 Twitter inaingia freshy tu