Habari,
Naandika uzi huu nikiwa inyonga hapa , jambo la ajabu wapendwa huku hata uwe na debe la mahindi moja kwenye kibaskeli utastajabu afisa ushuru mwenye pikipiki akikufukuzia ili akukatie risiti la ushuru.
Ajabu hawataki kujua km unatoka shamba au la.
Nimeshudia mama mmoja anakitenga nusu cha nyanya akiwekwa kitimoto atoe ushuru.
Kifupi huku biashara ishakua ngumu sana.
Awezae ni mkulima tu huku kwakweli. Sasa unajiuliza hii nchi tunaenda wapi sasa km mtu anatoa mazao yake shamba kuyapelek nyumbani apite porini tu .
Naamini mamlaka mtafatilia hili mana ni kero ishakua sana
#mr .observer ,wasalaaam nakwasasa kamsisi mlele