Kwajinsi vyuma vilivyo kaza, chunga usije ukageuzwa grisi aiseeeeeYes check me
Ndiyo mkuu!Yes check me
Unatania au unamaanisha mkuu?[emoji4]Kadri vyuma vinavyo zidi kukaza, smaller"Forex"zinazidi kubuniwa wallah....[emoji13] [emoji13]
Ebu soma heading na kisha maudhui, then pambanua kwa mtazamo wa jicho la tatuUnatania au unamaanisha mkuu?[emoji4]
Mkuu sio vibaya kwa sababu tunatofautiana katika uwezo wa kupambanua mambo na labda umeshapata uzoefu wa kukutana na matapeli!Ebu soma heading na kisha maudhui, then pambanua kwa mtazamo wa jicho la tatu
Mkuu nimekuPMNdiyo mkuu!
Mkuu nimekuPMYes check me
Sekta kivip mkuu? Hii ni e commerce mkuuSekta gani ?
Ni nzuri !Sekta kivip mkuu? Hii ni e commerce mkuu
asante mkuu,be blessedNdg zangu Daima naheshimu Idea's, kwangu mimi wazo ni zaidi ya pesa, hivyo wazo ndio MAONO, so mwenye MAONO ndiyo King maker. Hongera ndg yangu, binafsi nikutamkie Baraka.
MUNGU baba Baba mbariki ndg huyu akutane na mtu Sahihi kulingana na wazo lake.
Hakika ukiwaza sahihi na ukatenda sahihi, amini majibu pia yatakuja katika namna ya usahihi.