Invest in uk housing market

Hivi utamtambuaje time waster?...
huwa hawapo specific na matakwa yao. Atakupigia simu no viewing date, au hata akienda huko utamuonyesha majumba chungu mzima aridhiki na huwa wanatoa sababu ndogo ndogo ambazo azi make sense. Na pengine ukute tayari kesha enda mahakamani (kwa wale walio UK) kwa deni akijua all along na nimeshasema kama umeenda mahakamani kwa deni forget about it.
 
Samahani Mkuu kama nimekukwaza!
Lakini kwenye hii biashara lazima ujiprepare kuulizwa maswali mengi na mengine yasiyokuwa na tija,hii ni kutokana n pesa nyingi kuhusishwa,wengine inaweza kuwa ni life saving or half of your salary for the next thirty years.

Kuniambia nifungue thread ya wizi... kwa upeo wangu nilichopost hapo juu naona kiko kwenye mtiririko wa hii thread.
 
Wakuu,

Kununua nyumba UK bila deposit sio kitu kigeni na pia kutapeliwa kama unatumia akili zako za kuzaliwa sio rahisi au niseme haiwezekani. Ndiyo maana nikamuuliza maswali lukuki handsomeboy. Majibu yake mmeyaona, mimi nimerithika nayo. Nashauri badala ya kujenga mashaka ya kufikirika ni afadhali utafute ukweli kwa njia halali zilizopo (if you are serious that is).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom