Teh ngoja nimwazime ubongo kidogondo zake mkuu
na yeye ataunda tume lingine kuhakikisha hilo tume litakaloundwa linafeli huo uchunguzi
na mimi nitakuundia tume ya kuchunguza tume uliyoundaNgoja nianze na tume ya kuchunguza wapi Mkuu Excellent anapata haya mabomu yakuvunja mbavu za wananchi wasio na hatia pale pale walipo bila hata ya kuwapeleka kwenye kale kamsitu.