Interview

Interview

PANDIT92

Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
29
Reaction score
7
Aliyewahi kufanya interview utumishi katika kada ya tutorial assistant accounting and finance,,Msaada please wa jinsi maswali yanavyokua
 
Kama na wewe unataka kuyajua maswali ya usaili wa tutoria assistant tena kwenye kada yako na unaitaka kazi ya ualimu hakika wewe ni bomu tena hufai hata kumfundisha chizi!
 
faza faza maswali huwa hayajirudii ila katika kada hii kuna pia watu wa banking so kujua format si kujua maswali mkuu
 
Nijuavyo mimi huwez kuwa tutorial assistant kama huna GPA kubwa iliyotokana na performance nzuri kwenye masomo uliyosoma chuo sasa najiuliza hiyo GPA uliyonayo uliipataje??

nikutoe wasiwasi kwa kukwambia kuwa kama GPA uliyonayo umeipata kihalali bila cheating ya aina yeyote just relax usubiri mtihani wa utumishi ufanye na utatusua.

Ila kama ulitumia njia za panya kupata GPA kubwa lazima ukalie tako moja
 
SAWA KAKA
 
mbona mnamshambulia sana elimu yetu ya kibongo mnaijua msizuge Kama hamuifam ni ya kiujanja na kupata gpa kubwa haina maana kubwa unaijua content Sana hapana sema ni ufatiliaji na ujanja ujanja tu jamaa kauliza vizur ilipaswa mwenye experience ampe kidogo Mimi sioni kosa
 
Yaani tatizo la walioshindwa kupata gpa kubwa, wanaona wivu sana wanapomuona mtu anayo kubwa. Wanatafuta tu namna za kumkera.
Mtu kauliza swali na liko wazi, kama mtu hauna kile anachohitaji basi kaa kimya waache wamjibu wanaoyajua hayo maswali.

Mtu anauliza hivyo kwasababu, amesoma chuo sehemu nyingine na wanaoenda kum assess ni taasisi nyingine, hivyo ni lazima ajue namna ya walivyo ili ajue anakabiliana nao vipi.

Any way mtoa maada usijari, watakuja wanaojua hivyo vitu watakupa majibu.
 
Back
Top Bottom