watu wengine huwa mnachekesha sana.. kwani tangazo la kazi walitoa wapi hadi uulizie habar ya kupigiwa simu???kiufupi PSRS hawana utaratibu huo wa kuwapigia watu simu kitu ambacho unatakiwa ni kuwa current na tovuti yaoo.......wenzio wanadiscuss usaili ulikuaje we unaulizia majina ya Interview wameyatoa wapiDUCE walishafanya interview? Majina ya walioitwa interview yaliwekwa wapi? Au walipiga
simu?
kwa staili hii freshers watakua wanapeta kisawasawa
Mi nilibahatika kuitwa kwa post ya cooporative officer, but kutokana na sababu zilizo njee ya uwezo wangu sijafika...vipi usaili ulikuwajee
watu wengine huwa mnachekesha sana.. kwani tangazo la kazi walitoa wapi hadi uulizie habar ya kupigiwa simu???kiufupi PSRS hawana utaratibu huo wa kuwapigia watu simu kitu ambacho unatakiwa ni kuwa current na tovuti yaoo.......wenzio wanadiscuss usaili ulikuaje we unaulizia majina ya Interview wameyatoa wapi
Tatzo linaweza kuwa mda mkuu ila pepa inajibikaUSAILI ULIKUA MWEPESI SANA NDUGU USIPOPATA 95 UNA MATATIZO YA AKILI BORA UNGEKUJA HAYA NDIYO MASWALI.
1.Differences between Qualitative and Quantitative Research
2. What is Sample?
(b) mportance of Sampling
3. Cooperative society members obligations
4. Ways to Manage Cooperatives for a betterment.
all Questions carry equal Marks
Answer all questions
Write your name here
Signature
Time (40) Minutes.