Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
Inakubalika.Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
Hawakubali Mimi niliwah Rudishwa nikiwa na Copy kabsa ya kitambulusho maana Org ilipotea,,,Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
Hongera kaka kuitwa interview Mungu akusimamie. Tuombee pia tupateHabari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
Wanapokea barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaaHabari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf