Geofrey Banda
New Member
- Apr 15, 2025
- 4
- 6
Wakuu, wale walioitwa kwenye interview za ajira za MDA & LGA kupitia Ajira Portal, mbona wameweka mikoa bila kuweka venue ya kufanyia? Inamaanisha ukifika mkoa husika utafanyia wapi usaili? Kwa anaye fahamu eneo husika, atujulishe.