Interview ya Equit Bank

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
815
Reaction score
1,725
Jaman wadau? Habari za kwenu? Matumaini yangu mkopoa. Sasa naombeni mnijuze kwa alie fanya interview Equit Bank, kuna ambae ana updates ya kile kilicho kinacho endele?
 
Jaman wadau? Habari za kwenu? Matumaini yangu mkopoa. Sasa naombeni mnijuze kwa alie fanya interview Equit Bank, kuna ambae ana updates ya kile kilicho kinacho endele?
Hata mimi nilifanya ile oral intvw ya tareh 4mwezi huu,ila naona kimya mpaka sasa, sijui bado au ndo nimekosa! Cjaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…