Interview utumishi

Interview utumishi

jembe12

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
58
Reaction score
7
Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu
 
Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu
Inawezekana ulichokusudia kukiandi na ulichoandika vikawa vitu viwili tofauti kabisa. Edit basi ili tukuelewe na tuweze kukusaidia tukiweza
 
dhumuni ni nini? kuhusu mada yako?

unataka kudeseshwa au kajaribu bahati pitia vitu vyote ulivyosoma kwenye uhasibu utafanikiwa
 
Wakuu dhumuni nikujua wanatoa mambo gani kwenye pepa zao za written kwa wale walio kwisha fanya watupe mwongozo
 
Back
Top Bottom