Mr njaa Senior Member Joined Feb 3, 2022 Posts 166 Reaction score 126 May 8, 2022 #21 Castr said: Nafikiri la msingi ni usaili ungeendeshwa katika majiji makubwa yote, Arusha, Dom, Mza, Znz, Dar, Mbeya na Moro. Click to expand... Moro sio jiji kubwa mkuu
Castr said: Nafikiri la msingi ni usaili ungeendeshwa katika majiji makubwa yote, Arusha, Dom, Mza, Znz, Dar, Mbeya na Moro. Click to expand... Moro sio jiji kubwa mkuu
Mr njaa Senior Member Joined Feb 3, 2022 Posts 166 Reaction score 126 May 8, 2022 #22 fadhil mhando said: Daah Mungu atusaidie kaka, TTCL post 15 watu walioitwa 700 Click to expand... Mbona watu wachache sanaaa hzo post watu hua tunaenda tukishngiliaa
fadhil mhando said: Daah Mungu atusaidie kaka, TTCL post 15 watu walioitwa 700 Click to expand... Mbona watu wachache sanaaa hzo post watu hua tunaenda tukishngiliaa
R Rammyol New Member Joined Jan 6, 2022 Posts 3 Reaction score 3 May 9, 2022 #23 fadhil mhando said: aloooh Click to expand...
M Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,496 Reaction score 7,495 May 9, 2022 #24 Mr njaa said: Mbona watu wachache sanaaa hzo post watu hua tunaenda tukishngiliaa Click to expand... Yaani watu 700 wanalalamika hahahah! wana utani hawa.
Mr njaa said: Mbona watu wachache sanaaa hzo post watu hua tunaenda tukishngiliaa Click to expand... Yaani watu 700 wanalalamika hahahah! wana utani hawa.
Desire mobutu seseseko JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 1,000 Reaction score 1,466 May 10, 2022 #25 Hedaru2022 said: Kwakweli mfumo wa Usaili unahitaji kufanyiw Reform kubwa sana, kuanzia ratiba hata maeneo ya usaili.Nadhani wahusika watakuwa wanasikia kilio cha Wananchi Click to expand... haya maombi yasemewek kwenye tovuti ya ajira kulee watayasikikia mkuu
Hedaru2022 said: Kwakweli mfumo wa Usaili unahitaji kufanyiw Reform kubwa sana, kuanzia ratiba hata maeneo ya usaili.Nadhani wahusika watakuwa wanasikia kilio cha Wananchi Click to expand... haya maombi yasemewek kwenye tovuti ya ajira kulee watayasikikia mkuu
Desire mobutu seseseko JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 1,000 Reaction score 1,466 May 10, 2022 #26 fadhil mhando said: Daah Mungu atusaidie kaka, TTCL post 15 watu walioitwa 700 Click to expand... mzee iliwahi fanyika ya TCAA post 10 walitwa wàtu 2000+
fadhil mhando said: Daah Mungu atusaidie kaka, TTCL post 15 watu walioitwa 700 Click to expand... mzee iliwahi fanyika ya TCAA post 10 walitwa wàtu 2000+
M Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,496 Reaction score 7,495 May 10, 2022 #27 fadhil mhando said: Acha zako mkuu nani kalalamika nimesema tu idadi iliyopo, Click to expand... Mkuu usiangalie nyuma yako kuna nani, wewe iangalie karatasi yako pasua 50% to above mengine yatajiset.
fadhil mhando said: Acha zako mkuu nani kalalamika nimesema tu idadi iliyopo, Click to expand... Mkuu usiangalie nyuma yako kuna nani, wewe iangalie karatasi yako pasua 50% to above mengine yatajiset.
Casablanca92 Member Joined Apr 27, 2020 Posts 93 Reaction score 193 May 14, 2022 #28 Mulokozijr12 said: Yaani watu 700 wanalalamika hahahah! wana utani hawa. Click to expand... Nadhani majibu kayapata. Angalia hizi za TPA- 0perations Officer (10) - watu 6,000+ wameitwa
Mulokozijr12 said: Yaani watu 700 wanalalamika hahahah! wana utani hawa. Click to expand... Nadhani majibu kayapata. Angalia hizi za TPA- 0perations Officer (10) - watu 6,000+ wameitwa