V voyage Member Joined Dec 21, 2012 Posts 9 Reaction score 2 Mar 2, 2013 #1 Ndugu zangu nauliza mwenye tetesi za usaili uhamiaji kazi za koplo na kontebo anijulishe
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jun 10, 2013 #2 Mimi sijui
B Brother Kaka Member Joined Jun 11, 2013 Posts 90 Reaction score 54 Jun 12, 2013 #3 prakatatumba said: Mimi sijui Click to expand... Uhamiaji watu nadhani wapo kazini ndugu ktk hizo nafasi unazouliza. Walishafanya usaili kitambo mkuu.
prakatatumba said: Mimi sijui Click to expand... Uhamiaji watu nadhani wapo kazini ndugu ktk hizo nafasi unazouliza. Walishafanya usaili kitambo mkuu.
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 417 Jun 12, 2013 #4 Hizo ni za watoto wa wakubwa ndugu