Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za UDSM wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi June alafu mpaka sasa wamepiga kimya. Kwa kweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana JF
Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za udsm wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi june alafu mpaka sasa wamepiga kimya.Kwakweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana jf
Hakuna cha kujuana ni wewe tu!! Labda nirudi kwenye swali la msingi, kama walitangaza mwezi june ukaomba na hadi leo hawajaita basi jaribu kwenda kuulizia. Hakuna longo longo kaulize ili ujipange na kazi nyingine.