reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Jipange, watakuleteeni mikalkulasi hadi mtie akili
Haaaaa lazima vitini viusike. Jiandae tu kwa lolote. BtW kwani wewe lini?
Jipange, watakuleteeni mikalkulasi hadi mtie akili
Hata Interview Unataka kudesa ama kutumia phantom? Hujiamini ee. Jiandae ndugu
trh 6 na 7 afu mby zaidi npo mkoani nafasi yenyewe sijui ndo moja afu watu mia duh
trh 6 na 7 afu mby zaidi npo mkoani nafasi yenyewe sijui ndo moja afu watu mia duh
kwani hizo nafasi nyingine watazitoa lini kwa mwenye kujua?