Interview TCAA

mugesela

Member
Jul 1, 2016
49
34
Habarini wana jukwaa, nimeitwa interview ya TCAA written week ijayo...so huwa zinakuaje kwa TCAA nisaidieni
Regards.
 
hongera mkuu..nikutakie matokeo chanya huko uendako....Tafuta tips au dondoo za kwenda interview zikusaidie
 
Majina yapo kwenye website yao, mliyoomba piteni mjiridhidhe. Hawa wamefanya short listing.
 
Mara nyingi ni uelewa wako katika mambo mbalimbali kama kwenye hisabati,fizikia,na lugha ya kingereza...ukipita kwenye huo mchujo utaitwa kwa mahojiano
 
Back
Top Bottom