Interview tarehe 18

Whitedent

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
45
Reaction score
4
wadau oral interview ni tarehe 18 lakini mpaka leo tarehe 16 majina bado, inakuaje?
 
utumishi zile za parastatal zilizofanyika pale mwalimu nyerere jumamosi
 
subiri acha papara, yatawekwa tu. huko moto na interview kijana.
 
Tayari majina yote yamewekwa kwa watu waliofuzu wajiandae na oral, ingieni kwenye website ya ajira mtayaona muda huu
 
majina yapo tayari, kaangalie kwenye website ya utumishi ndugu.
 
Ujinga wetu ule ule, kwa nini usijibu kulingana na swali lilivoulizwa, hujui kaa kimya

ujinga wenu na nani? nimekosea nini kukujibu hapo? huwezi uliza swali la kijinga kama hilo ukajibiwa vizuri? kwahyo ulitegemea interview itafanyika kwa kibena au kihehe?
 
Mi sometimes nashindwa kuwaelewa wasomi wetu,kazi unataka interview unaongopa!c umesoma na unajiamin unaongopa nn?nenda kadhihirishe uwezo wako!
 
ujinga wenu na nani? nimekosea nini kukujibu hapo? huwezi uliza swali la kijinga kama hilo ukajibiwa vizuri? kwahyo ulitegemea interview itafanyika kwa kibena au kihehe?

So that's why na we ukajibu kijinga, sa hapo nan mjinga? aliyeuliza swali la kijinga au "Aliyejibu Kijinga"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…